Mwanza au Rock City hiki ni kisiwa cha Saanane labda siku moja ukifika ndani ya Mwanza ungependa kujivinjari ndani ya kisiwa hiki na kupata hewa safi ya kiorganic. Naukipata samaki fresh kutoka ziwa Victoria kiroho safi.
1 comment:
Anonymous
said...
ooh nyumbani nyumbani jamani pazuri kweli nyumbani sema tu hatuna pesa za kuishi huko ndo maana tupo majuu na tuombe mungu wasije wakapaharibu kwa mazingira nimeburudika sana kuona ziwa maji yalivyoo ooh my GOD

Post a Comment