eti hakuna ushibitisho wa kupigwa na risasi na polisi ?eti walikuwa wanacheza vibaya ndo wapigwa risasi na polisi? polisi na jeshi ni mali ya ccm?polisi na jeshi liko kwa ajili ya nani?kwa ajili ya ccm? aibu tena aibu na bado watu wasiochanganya akili wanawachagua ccm kila mahali kwa kupewa posho za hapa na pale.
2 comments:
Upuuzi mtupu eti siyo risasi waseme ni nini basi. Halafu wameumizwa na polisi sasa polisi wanatumia silaha gani mawe?? Visu ama?? Acheni upuuuzi
eti hakuna ushibitisho wa kupigwa na risasi na polisi ?eti walikuwa wanacheza vibaya ndo wapigwa risasi na polisi?
polisi na jeshi ni mali ya ccm?polisi na jeshi liko kwa ajili ya nani?kwa ajili ya ccm?
aibu tena aibu na bado watu wasiochanganya akili wanawachagua ccm kila mahali kwa kupewa posho za hapa na pale.
Post a Comment