ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 7, 2014

TIMU YA WABUNGE WA BUNGE LA JMT WAPIMA NGUVU NA WAFANYAKAZI WA AKIBA COMMERCIAL BANK-DODOMA


Timu inayoundwa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo 07/06/2014 wameina Nguvu na Wafanyakazi wa Banki ya Akiba hapa Dodoma katika Mchezo wa Kirafiki.Hadi Mpira Unamalizika Mechi imekwisha kwa Suruhu ya Bila Kufungana.
Picha Vijimambo Blog(Tanzania)

1 comment:

Anonymous said...

bora wapunguze mafuta yao ya mwilini wawe wanafanya mazoezi haya