Mhe Balozi Grace Mujuma, Balozi wa Tanzania nchini Zambia akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Lake petroleum siku Mhe. Balozi alipowatembelea ofisini kwao na kujionea shughuli mbalimbali za kampuni hiyo.
Pamoja na kuwatembelea Kampuni ya Lake petroleum, wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliwaalika Mhe Balozi Grace Mujuma na Afisa Ubalozi Richard Lupembe kwenye futari Kama inavyoonekana kwenye picha.
No comments:
Post a Comment