Advertisements

Thursday, July 31, 2014

Baraza la Eid ul Fitr 2014 liloandaliwa na Jumuiya ya Al yamin Zanziba

Balozi wa Yeman Nchini Tanzania Abdallah Hassan Al Amry akikaribishwa rasmi na Sheikh Omar Al Sheikh, katika sherehe za Eid ul Fitr zilizoandaliwa na Jumuiya ya Al yamin, siku ya Jumatano July 30, 2014 ndani ya Ukumbi wa Al yamin uliopo Bwawani Zanzibar. Picha zote na swahilivilla.blog
Balozi wa Yeman Nchini Tanzania Abdallah Hassan Al Amry akielezea neno mara  katika sherehe za Eid ul Fitr zilizoandaliwa na Jumuiya ya Al yamin, siku ya Jumatano July 30, 2014 ndani ya Ukumbi wa Al yamin uliopo Bwawani Zanzibar.
Vijana wa Al yamin wakimsikiliza Balozi wa Yeman Nchini Tanzania Abdallah Hassan Al Amry  mara baada ya kumaliza kusoma qasswida nzuri walizopangiwa kusoma siku hiyo ya maandalizi ya Baraza la Eid ul Fitr 2014
Imam wa Msikiti wa Mchangani Sheikh Ally Hemed Jabir Alyan akitoa dua mara baada ya kumaliza sherehe za maandalizi ya  Baraza la Eid ul Fitr 2014 liloandaliwa na Jumuiya ya Al yamin Mjini Zanzibar
Wageni waalikwa wakitikia dua iliyokuwa ikisomwa na Imam wa Msikiti wa Mchangani Sheikh Ally Hemed Jabir Alyan

No comments: