ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

BEHIND THE SCENES PICHA ZA UTENGENEZAJI VIDEO MUSIC YA VICTORIA, DIAMOND NA POZI KWA POZI

Mambo yalikuwa hivi jitiririshe na picha hapa chini kuona kilichokuwa kunajiri kwenye eneo la tukio jinsi Diamond alivyotia nakshi nakshi kwenye upigaji video ya wimbo wa Prokoto walioshirikishwa na Onyinye huyo wa kutoka kwa Kenyatta.
Ni mwendo wa Prokoto kweli kwani walijipanga vilivyo katika video hiyo ukicheck pozi tu basi utakubari kuwa ngoma imepata wajuvi. Chini ndo mpango mzima jitiririshe zaidi



5 comments:

Anonymous said...

huna hata haya diamond mwezi wa ramadhan yote huu unakatika viuono hivi halafu unajiita mtoto wa kiislamu kumbuka pesa kuna siku hatokufaa zaidi ya mungu wako ukiondoka hapa duniani.

Anonymous said...

waku luke na ny ibra mbona hakuna nafasi yakutoa comment zetu leo kwenye issue za uchaguzi wa dmv,katika ya iddy na libe?
what happen to our freedom of expression,mnatufanya kama tuko bongo nakuwa wote magamba hatuna haki ya kutoa comment zetu thats a big shame

Anonymous said...

wewe mdau wa July 14, 2014 at 1:34 PM kwani hukusoma tangazo?

Anonymous said...

timu vijimambo imeamua hana comment sababu watu wanachafua hALI YA HEWA. usijali

Anonymous said...

ila wanawake mnajidhalilisha ona dimondo alivyo vaa, haya ona huyu dada alivyo vaa yaani yuko uchi kabisa hakika wanawake mnatia aibu halafu mnataka haki sawa mwanaume gani atakuwa mpumbavu kiasi cha kujidhalilisha kama nyie haki sawa haitawezekana milele kwa mambo kama haya. najua mtakasirika lkn hamna maana kabisa wanawake. wengine wanataka kuolewa wanaenda kuleta ugonvi kwenye nyumba za wa2 nani atakuoa wew kila m2 anakuchungulia kila wakati hamna muda unaojistiri vizuri kimavazi