ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

UCHAGUZI WA URAIS DMV

Naitwa Yusuf Godson Liuzio mimi namuindozi Liberatus Mwang'ombe for DMV President kwa sababu DMV tunahitaji mabadiliko na ninaimani na Libe kwamba ataipaleka DMV kwenye Next Level na kuwaweka Watanzania pamoja na kuwarudisha Vijana kwenye Jumuiya kwa hiyo wanaDMV na wapenda mabadiliko naomba tujumuike pamoja tumchague Libe.

LIBERATUS MWANG"OMBE FOR DMV PRESIDENT