Advertisements

Saturday, July 26, 2014

BONGO KUJA NA HII BAADA YA MABASI YAENDAYO KASI NA FLYOVER

Nikatika mipango wa kuboresha miundo mbinu na kupunguza ajali za barabarani sasa shirika la reli kushusha usafiri huu baada wa ukarabati wa barabara ya reli kutengemaa. Kama unakumbuka shirika hilo la reli limepokea mabehewa 25 ya kubebea kokoto za kukarabatia reli ya kati kutoka India. 
Mmoja wa mafundi shirika la reli akiwa mzigoni kukaza moja ya mabehewa ya zamani.
Moja ya mabehewa hayo 25 likishushwa bandarini baada ya kuwasili kutoka India mabehawa hayo 25 yamegharimu sh za Kitanzania billion 4 nakukumbusha tena mabehewa haya yamenunuliwa kutoka India.

No comments: