Sunday, July 27, 2014

Cnear - You don't love me (Beat ya Keggah) Official Video

Abu Mwenye ni Mtanzania ambae anaishi katika mji wa Worcester, Massachusetts. Abu licha ya kuimba pia anakipaji cha uchoraji jitiririshe hapa chini na utakubari kipaji chake.

Abu Mwenye akianda rangi zake tayari kwa kuchora

Baiskeli hii yenye uwezo wa kuendeshwa na watu wanne ni ufundi wake pia amedesign mweyewe mwanzo mwisho.

Abu hapa  akivarisha matairi ya baiskeli yake hiyo yenye uwezo wa kuendeshwa na watu wanne kwa maramoja. Kwa picha zaidi za msanii huyu nenda soma zaidi.








1 comment:

Anonymous said...

Kazi nzuri kaka.