Advertisements

Sunday, July 27, 2014

DIAMOND ATWAA TUZO AFRIMMA

Mpaka sasa mwanamuziki wa kizazi kipya anayekimbiza kwa sasa Bongo na anga za kimataifa Diamond Platnumz ameishapata tuzo moja ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki kwenye tuzo za AFRIMMA zinazofanyika kwenye mji wa Richardson, Jimbo la Texas nchini Marekani. Tuzo zingine anazogombania ni Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora na Video bora ya mwaka. 

No comments: