
Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe

Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza (kulia) akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya.

Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chriprin Mbuza. Picha na Mkwinda Blog.
No comments:
Post a Comment