Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

FIGISU FIGISU KATI YA PEPE NA KEITA ZAENDELEA LICHA YA KEITA KUHAMIA ROMA YA ITALY AGOMA KUMPA MKONO



Keita agoma kumpa mkono Pepe na pia alimrushia chupa ya maji kichwani kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya Real Madrid na Roma huko Dallas.TX mshike mshike huo ulitulizwa na Xabi Alonso. Kisa ya hayo yote kutokea inasemekana mwaka 2011 Pepe alimwita Keita Kima kwenye mchezo wa watani wa jadi kati ya Barcelona na Real Madrid. 
(EFE)
Pepe hapa nusra atobolewe macho na Keita siyo hiyo aliyomwita mwenzie kima, Keita akiwa na  Jersey ya Barcelona.

No comments: