Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

Kevin Durant kufanya alichofanya Lebron James nae kurudi kuchezea timu ya nyumbani

Kelvin Durant leo amesema anania ya kurejea Washington Wizard timu iliyo maeneo aliyokulia. Amesema yeye maisha yake aliyokulia mji wa Seat Pleasant jimbo la Maryaland uliopo maili 10 mashariki ya Washington mji ambao timu ya Washington Wizard ndiko inakopigia kikapu chake hapo..

Kelvin Durant akihamia Washington Wizard atafanya kuwa mchezaji wa pili kurudi kuchezea timu ya nyumbani kwa sasa hivi anamalizia mkata wake na timu ya Oklahoma City Thunder utakaoisha 2016 .

No comments: