Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

MSIBA DMV NA TANZANIA

Wana DMV wenzetu Elizabeth Terry na Yudatade Kweka Wamefiwa na Mama yao mzazi huko Nyumbani Tanzania. Msiba Umetokea Hospitali ya Bugando, Mwanza.  Marehemu pia ni bibi wa Diana Terry .

Mazishi Yatafanyika Huko Moshi siku ya Ijumaa, August 08, 2014.

Msiba kwa hapa DMV upo 2300 Good Hope RD, SE APT 813, Washington,  DC20020

Kama ilivyo desturi yetu twendeni tukawaone ndugu zetu kuwapa pole na rambirambi.

Elizabeth anaondoka Jumapili kuwahi mazishi.

Kwa Mawasiliano.

Mpigie:
Tadei 202-520-2361
Eliza 202-349-5381
Diana 202-476-0381

No comments: