Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

LE MUTUZ LIVE!!

LEO NILIAMUA KULA EID MUBARAK NA WAHANGAIKAJI WA MAISHA MTAANI KWA MAMA NTILIE BINTI ATHUMAN KARIBU NA OFISI ZA MY BLOG, MASIKINI MAMA WA WATU AMELIA MACHOZI KWA FURAHA NILIPOMLIPA HELA ZA CHAKULA CHAKE CHOTE CHA LEO JUMLA SHILLINGI ELFU ISHIRINI NA TANO TU! AMBAZO JANA USIKU NIMELIPIA MABEBZ KUNYWA MAPOMBE ZA KUHARIBU VICHWA VYAO NA HUKU HIZO HIZO PESA ZINAWEZA KUSAIDIA MAMA KAMA HUYU JAMANI SOMETIMES TUTAFAKARI OUR LIFE!! - LE BIG SHOW

8 comments:

Anonymous said...

sema tu maisha yamekuharibikia huko bongo huna budi uende na kula kwa mama lishe huwezi kula katika mahoteli makubwa makubwa. unamdanganya nani wewe le mutuz.
pole sana kwa maisha kukuchanganyikia,

Anonymous said...

Kweli waswahili tukipata matako hulia mbwata. Hivi do you really have to humiliate this poor woman on all blogs and FB to show how nice you are? Kweli umempita Dully Sykes kwa misifa. Haya ngoja tukusifie kwa jinsi ulivyo na roho ya huruma hali umekimbia child support huko amerika.

Anonymous said...

Huyu jamaa kweli mshamba na wala hakuwi. Ukimpa msaada mtu kuna lazima gani ya kutangaza? Vitabu vitakatifu vunasema, "ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia, hakikisha mkono wa kushoto haujui.

Anonymous said...

poa sana kk

Anonymous said...

Ushamba Wake nn Sasa, mbona hao wanaozaminiwa na macompany kupewa msaada hamuongei, acha chuki binafsi

Anonymous said...

Nice bro ...its good to support others as wote wanahangaika like everyone else....

Anonymous said...

heee huyu sasa ndio nani. naona ana sare ya sears. anafanya sears ipi niende kupeleka gari yangu. au ndo kaopoa vazi katika mtumba halafu katinga. maisha ya kugeza bana

Anonymous said...

Tangu lini amekuwa kampuni binafsi? Hivyo vijisenti ndiyo unaweza linganisha na msaada wa ma-kampuni? Au na wewe ndiyo una mentality kama zake?