Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA SHEREHE YA EID DMV

Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiingia ukumbini kujumuika na Watanzania DMV katika sherehe ya sikukuu ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa meza kuu kushoto ni Asha Hariz na kulia ni Afisa Ubalozi Bwn. Abbas Missana.
Mwenyekiti wa TAMCO Bwn. Yusuf akiongea na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye sherehe ya sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumatatu July 28, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na Watanzania na kkuwatakia Eid njema.
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya sikukuu ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani. Picha mwakilishi wa Vijimambo Washington, DC, Mzee wa Piga box.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: