Advertisements

Saturday, July 26, 2014

HIZO NDIYO SKILLS ZA WANAWAKE WA AFRICA

Hii ndiyo maana ya kuitwa MAMA wanawake wa Africa kutoka na skills zao na majukumu ya kila siku.

4 comments:

Anonymous said...

Safety vipi hapo? America lazima uvae helmet. Hapo akipiga mzinga chochote kitakachotokea ni kazi ya Mungu. Lol.

Anonymous said...

She don't need to put gas for that.usafiri burerreee

Anonymous said...

Mungu anawalinda sana hawa masikini. Wanaishi hivyo miaka yote na atawakuza hao wote hadi mlimani na kumnunulia benzi mama yao. Nilibebwa kwa ngozi miaka 2 hadi naacha nyonyo ya mama. Ngozi hiyo tulibebewa watoto kumi, wengine walibebewa mbeleko. Ukituona leo huwezi amini kwamba tumetoka mbali. Chakula chetu oganiki tupu for more than 40yrs

Anonymous said...

na kuvaa helmet hakuna usafety wowote kuna waatu nawajua wameva helmet na wakapata accident yakaharibika kabisa vichwa vyao na hizo helmet zao ziliwagandia vichwani.
mungu awasaidiye sana mama zetu,dada zetu na watoto wetu wa kike wa nyumbani kwa kuhangaika na maisha