Advertisements

Saturday, July 26, 2014

DIGNA NA SANDU WAMEREMETA DAR LEO JUMAMOSI

Harusi ya Digna na Sandu iliyofanyika Dar es Salaam leo Jumamosi July 26, 2014 na kuhudhuliwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Harusi ya Digna na Sandu wakazi wa Atlanta, Georgia nchini Marekani wamemeremeta leo kwa vifijo na nderemo jijini Dar se Salaam.

No comments: