Advertisements

Thursday, July 31, 2014

HOME SWEET HOME HIYO

Mzee wa Swahilivilla akifanya maandalizi ya mahanjumati ya ma  raudhwat ndani ya mji Mkongwe huko Unguja, Mzee Swahilivilla yupo likizo baada ya box la ughaibuni ameamua kwenda kujipumzisha ndani ya mji Mkongwe.

2 comments:

Anonymous said...

Abu Mtu wangu nimekubali..

Anonymous said...

mzee wa swahilivilla nakutakia eid nje,minal eidina,naona unakula raha zako sweet home.