ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 5, 2014

JAY DEE NA MWANA FA,MUDA NDIO HUU MALIZENI UGOVI WENU.






sikumoja nilikuwa nafuatilia bongo flava na wasani kwenye TWEETER nilipo fika kwa jeydee nikisoma tweeter zake maranyingi huwa ana mtaja sana mungu na kumtegemea sana mungu naamini kwake nimuuelewa sana na nimtu ambaye ana mapenzi yakweli kwajamii kwaniwakati na fanya maojianao na MWANA FA aliniamia kuwa pesa ya T. F. U KAMA KIINGILIO alimlipia JAYDEE nikiwa kiasigani huyu mtu ana moyo wa upendo tena bila ya muhusikakujua nidhahiri kuwa ni mtu ambaye anajitambua kama DADA anajitambua mfano ukiusikiliza wimbo alioimba jaydee na mwana fa anasema kukosea niubinadamu hakukuvui thamani. nikweli kabisa kwani mmojawenu akimsalimia mwenzie thamani yake itashuka haa .nilifurahi nilipoona gazeti la udaku wameeandika kuwa yameisha matatizo yako na ruge na niliumia nilipoona ukikana siokweli kama mmeyamaliza kama watuwazima dah.nakuomba mimi kama shabiki wako yamalizeni ili tuunganishe nguvu nasisi tutoboe kamawezetu wa west huku diamond kule jay dee pale ay nyuma ommy kushoto mwana fa itapendeza kama BET watanzania watatu wanaingia kwenye kinyanganyilo
" maneno hayawezi kuku uwa yananifanya kuwa ngangari msiache kuongea"nimstali mzuri ukiuzingati pia nimawadha kwa wenye utimamu naamini mwana fa anazo sifa hizo sisi mashabiki tumechoka kusikia ugomvi kilasiku wawasani kwa wasani nikweli muda mwengine huwa kama  dawa ili mwanamziki awe anasikilizwa sana na jamii lazima atafute{ kick} iliasikike mwishowasiku lazima itakuwathili nyinyi mnaogombana natunyima raha  mashabikiwenu mm kama shabiki yako mwana fa pls malizeni ugoviwenu mfanyekazi kamazama kwani nimsanii ambaye mliowahi kufanya nae colabo nyimgi na kali sana hapo mwanzo .mchukulie kama dada yako rafiki yako ama jamaayako yaishe bwana nimeandika hivi kwakuwa naumia sana ndugu yangu.kuna msemo unasema hivi samehee.....ujasiri uwanzia hapo, nivigumu ...ila inawezekana by salama jabir.namm nathubutu kusema inawezekana.

No comments: