Karrueche chozi lamtoka alipoongelea maisha yao na Chris Brown
1 comment:
Anonymous
said...
ndo maisha na ndo maana inabidi mwanamke uwe na chako kama kazi au elimu ili mwanamme anapokukuta anajua hapa pa mchezo siyo,na uwe karibu na mungu wako, wanaume kazi zao kumiza sana wadada so zingatiyeni sana wadada mtu wa aina gani una mdate na unatafuta nini kwake usione umarufu wake ukaingia mkenge kuwa na wewe na yako ili asikutishe tishe hata kidogo na usiyaache yako hata siku mmoja. akikuambia acha kazi mwambia nifunguliye biashara tena kwa jina langu.ndo dunia inavyokwenda siku hizi no kuzuba zuba ladies hear me
1 comment:
ndo maisha na ndo maana inabidi mwanamke uwe na chako kama kazi au elimu ili mwanamme anapokukuta anajua hapa pa mchezo siyo,na uwe karibu na mungu wako, wanaume kazi zao kumiza sana wadada so zingatiyeni sana wadada mtu wa aina gani una mdate na unatafuta nini kwake usione umarufu wake ukaingia mkenge kuwa na wewe na yako ili asikutishe tishe hata kidogo na usiyaache yako hata siku mmoja.
akikuambia acha kazi mwambia nifunguliye biashara tena kwa jina langu.ndo dunia inavyokwenda siku hizi no kuzuba zuba ladies hear me
Post a Comment