Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
Kijana huyo akiendelea kuteseka
Hali inakuwa Mbaya zaidi
Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali
Picha zote na Mbeya yetu
2 comments:
Haki za binadamu. Hata kama amekosa, kwanini wasifuate mkondo wa sheria ufanye kazi yake? Hii sio sawa kabisa.
ni sawa kabisa na wewe anonymous wa mwanzo ungeibiwa wewe funguo za magari usingesema kauli uliiyoiandika hapo juu.
huku bongo kwa halifu namna hii sheria ipo mikononi mwa wahusiia si kwa wana sheria.
bongo hakuna sheria huku.
Post a Comment