Advertisements

Thursday, July 17, 2014

LISSA NYENDO JAMES AKAMATA NONDO YA BACHELOR OF BUSINESS MANAGEMENT KUTOKA UNIVERSITY OF BEDFORDSHIRE, UK

Lissa Nyendo James akiwa na mmoja wa wahitimu kwenye maafali ya chuo baada ya kuhitimu na kukamata nondo ya Bachelor of Business Management kutoka chuo kikuu cha Bedfordshire cha Uingereza.
Lissa Nyendo James akiwa na familia yake waliokuwepo huko Uingereza kushuhudia Maafali ya chuo hicho cha Bedfordshire nchini Uingereza.
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika chuoni hapo wakipata picha ya pamoja na Lissa Nyendo James.
Maafali ya chuo ikiendelea.
Wazazi wa Lissa katika picha ya pamoja mtoto wao.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

Ooh! Time flies so fast. Many many congrats to you dear cousin. Mwenyezi mungu akutangulie