Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

MABASI YA UDA NA MUONEKANO MPYA

Hivi ndivyo mabasi ya UDA yanavyoonekana sasa baada ya kupigiwa kele za muda mrefu kuchora mistari ya rangi kuonesha njia wanazopita na sio kujiamulia tu wenyewe wanavyojisikia. Father Kidevu

No comments: