Advertisements

Thursday, July 31, 2014

MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA IMEAMURU KUCHOMWA MOTO DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA BILION 1.8 ZILIZOKAMATWA MPAKANI TUNDUMA MWAKA 2010

Dawa hizo a kulevya zateketezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
Madawa hayo yakitumbukizwa katika tanuru la moto mkali
Raia wawili wa Afrika kusini, Vuyo Jack, na mkewe Anastazia Cloete. wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa hayo Kesi yao bado inaendelea.
Credit:Mbeya yetu.

No comments: