ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 2, 2014

MAJAMBAZI YASHAMBULIA BASI LA WAFUNGWA LA MAGEREZA NA WATOKOMEA KUSIKO JULIKANA

Picha juu na chini ni tukio lililotokea muda si mrefu maeneo ya TMJ Hospital Majambzi yalikuwa yakikimbia kwa mguu yakitokea msasani kwa Nyerere walilishambulia basi la wafungwa la Magereza lililokuwa likisindikizwa na gari lingine nyuma lililokuwa na askari magereza. Shambulio hilo limewajeruhi wafungwa na baadhi ya asakari hao wa Magereza, hakuna mtu aliyekufa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

2 comments:

Anonymous said...

Dunia imebadilika tunaishi kizamani sana,camera zifugwe kwenye hayo magari,niko tayari kutoa ushirikiano,pia usalama wa taifa ushirikisne na wanafunzi,watanzania wanao ishi nje ya nchi kujifunza mbinu za kisasa bunduki haitoshi,saikologia,na ufahamu wa kutosha kukabilia na mabadiliko ya dunia.

Anonymous said...

jee wamekimbia na mtu wao? au wameshambulia wakatokomea tu??? tuwekee sawa