
Diego Costa akiipatia Chelsea bao la kusawazisha baada ya timu hiyo ya darajani kwenda mapumziko ikiwa nyuma kwa bao 1-0 mechi hii iliyochezewa uwanja wa Stozice nchini Slovenia.

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao la 2 na la ushindi lililofungwa na Kurt Zouma.

Benchi likfurahia kuwa na mchezaji wao wa zamani Didier Drogba

Kurt Zouma akifunga goli lililokataliwa kuwa alikua amezidi.
No comments:
Post a Comment