Advertisements

Saturday, July 26, 2014

RAIS KIKWETE, WAZIRI MKUU PINDA NA JAJI MKUU WAKARIBISHWA FUTARI KWA MAKAMU WA RAIS DKT BILALI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika
futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki katika
futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

PICHA NA IKULU

2 comments:

Anonymous said...

je inasihi kwa mtu asiye muislamu kuftarisha waislamu? na madhumuni ya hii ftari ni nini hasa?

Anonymous said...

hasihi kabisa kwa mtu asiye muislamu kuftarisha,na madhumini ya hizi ftari ni mafisadi wa ccm tuu kuwazuga waislamu wawapigiye kura