kwani ilikuwa mkutano wa siri wa Iddy? ...acha ubaguzi wewe ..futari inausiana nini na Iddy .Sidhani watu wote wanamaoni kama yako uko ..USA ushambabado haujakutoka...
wacheni uchochezi si kuruhsuiwa ila ni sehemu ya kuftari waliofunga na si katika jumuiya ya ku party unless kama umealikwa kwenye hiyo futari na unamwenyeji wako.
so acheni uchochezi kusema kwamba majina ya alex hawaruhusiwi katika TAMCO.
12 comments:
Huyo Alex kafuata nini humo kama siyo kuja kusikiliza Iddy ataongea nini apelike kwa Libe.
Ala kumbe TAMCO wenye majina kama ya Alex hawaruhusiwi.
kwani ilikuwa mkutano wa siri wa Iddy? ...acha ubaguzi wewe ..futari inausiana nini na Iddy .Sidhani watu wote wanamaoni kama yako uko ..USA ushambabado haujakutoka...
bishow tu kaa nyumbani lea watoto umbea tu mwanaume mzima Lol siulikuwa muslim ukabadili dini yaniniLucus usibanie
mummy helewa ramadhan kareem umependeza na hijjab yako.
You know who iam
wacheni uchochezi si kuruhsuiwa ila ni sehemu ya kuftari waliofunga na si katika jumuiya ya ku party unless kama umealikwa kwenye hiyo futari na unamwenyeji wako.
so acheni uchochezi kusema kwamba majina ya alex hawaruhusiwi katika TAMCO.
makubwa huyo AK anajua kuchukua uzu? nasikia kasilimu jana sababu anataka kuoa muislamu. tetettete, chichemi nani taanambia wala chimumunyi

mummy helewa ramadhan kareem
Ally angalia hiyo weight, siyo tija mtu wangu
nyie TAMCO acheni ubaguzi mtanifanya na mie ni-change mind nipeleke kura zangu kwa Libe
peleka kwa libe lakini jiulize yeye libe mbona anakuja kutafuta kura tamco.just a minor question ask you self this.
Post a Comment