ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 31, 2014

UTAFANYAJE UKIGUNDUA MPENZI WAKO AMEKULOGA?... SOMA KWANZA HAPA

Ivi ikitokea mkeo kasafiri,siku moja unaamua kufanya usafi unaamua kumfulia nguo zake unapochukua mfuko wa nguo zake chafu unakuta DAWA ZA KIENYEJI mbili tofauti zikiwa zimefungwa na kufichwa 
chini kabisa,unahamaki na unaamua kumwita mtaalam wa tiba za asili,Mtaalam anakufahamisha kua dawa moja ilikua uwekewe kwenye maji ya kuoga na nyingine kwenye chakula,mala baada ya kutumia kile atakachotaka ndicho utakachofanya...Mke wako akirudi utamfanyaje?.
Credit:thechoice

4 comments:

Anonymous said...

kama ulikuwa unaleta kiburi lazima ulogwe tuu

Anonymous said...

Tunarogwa kila siku ntamwambia kuwa nimejua unachonifanyia hili aone aibu kesho mke wa pili house girl.

Anonymous said...

Hahahahahaaaa! Mdau hapo juu umenichekesha sanaaa! Ila swali linakuja hivii kwani ukikuta Dawa za kienyeji ndo inamaanisha Nizakuloga mtu?? Kama Je ni mitishamba ya kuharisha kutoa uchafu tumboni au dawa ya kiungulia au ubani wa harafu?! Huyo Mume Naye Mwanga tu maana amejuaje ni uchawiii?

Anonymous said...

Ukioa pwani, Tanga,songea, na unguja haya utakutana nayo saana tu. Mkome