Advertisements

Friday, August 1, 2014

GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZE
Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava

2 comments:

Anonymous said...

I like this guy very much. He needs to be congratulated for creating employment for the Tanzanian youth.
He lacks arrogance, he replies to all comments on his facebook page, he friends averybody who comments on his page. He is a people's person God bless him. For all you young people who want success, talent only does not help, you need people skills, arrogance rarely pays.

Mzee wa Changamoto said...

We call him Daddy.
Huyu ndiye DJ wa kwanza kunionyesha njia katika muziki radioni.
G alinifunza mengi na bado ananifunza mengi katika tasnia.
Ni mkarimu
Mcha Mungu
Mheshimu watu na utu

I just RESPECT HIM very much