Advertisements

Friday, August 1, 2014

HARUSI YA BIDAN NA MANKA DAR ES SALAAM, TANZANIA

Harusi ya Bidan na Manka iliyofanyikia Dar es Salaam, Tanzania katika hoteli ya Hyatt Regency na kusimamiwa na wasimamizi wengi wanaoishi na waliowahi ishi nchini Marekani. Bwana na Bi harusi ni wakaazi wa Columbus, Ohio nchini Marekani.
Wapambe na wasimamizi katika picha ya pamoja.
Bwana na Bi harusi katika picha ya wapambe wakiwemo wasaidizi wao.
Bwana na Bibi Mchao na wapamb wao katika pozi kwenye ngazi
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: