STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers.
Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi karibuni.
5 comments:
What is next for this dude!!, He has been advised so many times to work hard, lakini bata kwenda mbele.. WHATs Next??
OKC is the best place for young athletes to learn and develop their skills. If he was released from there, I believe game is over. Philly doesn't babysit slow learners of his age. Wishing him all the best.
Does anyone see something wrong here? Ameuzwa? People selling people? What does this remind you guys?
What are u doing for a living,kuchonga mdomo halafu kazi ya $10/hr
Are u his agent?to say the least.what's your carrier?yeye amethubutu,his name is in the records,what's ur name so I can google.
Post a Comment