Advertisements

Thursday, August 28, 2014

KWA WAJASILIAMALI WANAOPENDA KUCHUKUA MEZA KWENYE SHEREHE YA VIJIMAMBO MWISHO NI SEPT 5, 2014

Kamati ya maandalizi ya sherehe ya Vijimambo itakayofanyika Sept 13, 2014 inapenda kuwataarifu na kuwakaribisha kushiriki kwenye sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo wajasiliamali wote wanaopendelea kuchukua meza kwa ajili ya kuonyesha shughuli wanazofanya

Tafadhali wasiliana na wanakamati namba za simu Baraka Dudi 301 792 8562, Asha Nyang,anyi 301 793 2833, Julius Katanga 202 400 4218, Idd Sandaly 301 613 5165, Mayor Mlima 301 806 8467 na Tumaini Kaisi 301 433 3411.

Ushirikiano wako ndio mafanikio ya sherehe hii.

Asante.

KAMATI YA MAANDALIZI

No comments: