Thursday, August 28, 2014

WAYNE ROONEY NDIO KEPTENI MPYA WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA

Kocha wa timu ya Taifa ya Uingereza Roy Hodgson amemtangaza mchezaji wa Man U, Wayne Rooney kubeba majukumu ya ukepteni wa timu ya Taifa ya Uingereza baada ya aliyekuwa timu kepteni wa timu hiyo ya Uingereza Steven Gerrard kuamua kutundika daruga kuchezea timu ya Taifa japo bado anaendelea kuitumikia timu yake ya Liverpool.

Wayne Rooney kwa sasa pia ndiye timu kepteni wa timu yake ya Manchester United.

No comments: