ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 23, 2014

PINDA AKUTANA NA MZEE MKAPA MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza. 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwnye Ikulu ya Mwanza August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: