ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 25, 2014

Q CHIEF ASAINI MKATABA MNENE

MWENYEWE ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA
Kwa  miaka mitano nimekuwa kimya  kwenye radio na anga ya muziki ikiwa ni sehemu ya kuyapitia maisha mengine  njee ya muziki but  thanks to God sikutegemea kupata mkataba mkubwa wa kunirudisha tena  kwa nguvu  zote kwa watanzania wangu waliomisi mziki mzuri toka kwangu nasubili muda tu niachie  mziki mzuri  kama ilivyokuwa mwanzo  na zaidi ya mwanzo ni zaidi ya Q Chief  wanayemjuwa

No comments: