ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 24, 2014

Taarifa ya Hitma

Watanzania wenzangu,
Kwa niaba ya familia ya Bi. Rahima na Bi. Zubeida, TANZASEATTLE inapeda kuwajulisha kutakuwa na hitma ya mama yao mzazi Bi. Fatma Ali Daud siku ya Jumamosi August 23rd, 2014 saa kumi alasiri (4pm). Marehemu alfariki dunia August 21st, 2014 na kuzikwa Uzi, Zanzibar.


Hitma ya wanawake itafanyika nyumbani kwa wafiwa Rahima & Zubeida
The Colony Apartments
18100 NE 95th St. #OO1074
Redmond, WA 98052

Hitma ya wanaume itafanyika kwenye Cabana - The Colony Apartments

18100 NE 95th St. 
Redmond, WA 98052
Rahima Cell# 206-374-2465
Zubeida Cell# 206-779-2082

Inna Lilahi Waina Ilayhi Rajioon.

Tunawaomba tuungane na wenzetu katika kipindi hiki kigumu kwa kujitokeza kwa wingi.

Mwenyezi Mungu Amlaze Marehemu Mahali Pema Peponi na Awape Subira Wafiwa - Amina.

Thanks,

Fatma Al-Tamim Mkudde
Katibu
*TanzaSeattle*


Tafadhali tunaomba umjulishe mwenzio.

No comments: