ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 23, 2014

Taarifa Ya Msiba BOSTON, MA


Familia ya ndugu Martin na Steven Kibusi inatowa shukurani kwa dhati watu wote waliotoa michango kwa hali na mali katika kifo cha Mama yetu mpendwa Lucia Kibusi.

Familia inawakaribisheni wote kesho jumamosi  katika service ya kumuaga Marehemu Mama
Giragosian Funeral Home
 576 Mt. Auburn St
Watertown, MA 02472

Kuanzia 2:00PM mpaka 5:00PM.

Ukifuwatiwa na  chakula na shukurani katika ukumbi
10 Putnam St Roxbury, MA 02119
Kuanzia 5:00PM mpaka 8:00PM
Nyote mnakaribishwa.

Vilevile
Makadirio ya gharama ya kusafirisha mwili wa Marehemu ni $15,000.00.
So far tumekusanya $13,260 Tuko short $1,740  Tunaomba msaada wa michango yenu ili tuweze kufikia kiwango kinachohitajika kusafirisha mwili wa Marehemu nyumbani.
Kwa maelezo zaidi unaweza kutuma mchango wako kwa kupitia
Bank of America
Martin Richard Kibusi
Account number 4648847964
Au unaweza kuwasiliana na
Martin  Kibusi +1 617-943-6400.
Steven kibusi  +1 617-314-2910.
Mapi (Andrew) +1 857-251-8881

Margareth Pelelwa Shauri +1 781-632-6161

Tunawashukuru kwa mshikamano wenu.
Ahsanteni

No comments: