ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 23, 2014

WATANZANIA WA NEW JERSEY, USA NA MAENEO YA KARIBU


Mnakaribishwa wote kwenye Community Barbeque ya Watanzania siku ya Jumamosi, Agosti 23, 2014, kuanzia saa tisa alasiri katika viwanja vya Lincoln Park, West Side Avenue, Jersey City, New Jersey.



Lengo letu ni kujumuika pamoja, kufahamiana zaidi na kula nyama. Kufika kwako ndio mafanikio ya jumuiko letu sote. Ahsanteni.






4 comments:

Anonymous said...

Hii BBQ ni ya Watanzania wote, not only wakazi wa NJ. Please feel free to join us. ALL ARE WELCOME!!

Anonymous said...

That's wonderful kwakweli, am so proud of tanzanians

Anonymous said...

You guys weren't there or you were somewhere else!

Anonymous said...

New Jersey makes us proud!!! It time tuachane na uroho wa wachache New York !!!! Ni shideeeeer !!! Viongozi wasaniii wamepitwa na Wakati !!!! Go go New Jersey Tanzanians !!! We are classy !!!!