Habari zenu wadau, hebu jieleze unavyoikumbuka, ulivyoitumia na thamani yake ilivyokuwa, jitiririshe ili vijana waliokuwa hawakuiwahi kuitumia hii waitambue thamani yake
7 comments:
Anonymous
said...
inanikumbusha mbali, shilingi tano ulikuwa anakula breikfast, lunch na dinner, wakati mwengine na chenji inabakia
Hii ikiwa ni shilingi 5 ya noti, na ile ya silver yake ilikua inaitwa: DALA, na ilipata jina hilo kwa sababu ilikuwa thamani yake wakati huo ni sawa na 1 US dollar.
Naikumbuka sana Shilingi Tano ya noti. Enzi hizo, mshahara wangu wa mwezi ulikuwa Shilingi Mia Nne na Hamsini, na zilikuwa zinatosha mpaka unaweka akiba bank.
7 comments:
inanikumbusha mbali, shilingi tano ulikuwa anakula breikfast, lunch na dinner, wakati mwengine na chenji inabakia
hiyo hela kwanza kijana ukiwa nayo unatisha na si rahisi kuipata ==kama kwenu hamnazo..
hiyo hela zamani ni watoto wa wazito tuu walikuwa nazo hohehae ukiipata looooh siku hiyo hulali..
shilingi ilikuwa nauli ya wiki nzima ya daladala kwa sisi wanafunzi. duuh kweli tumemisi maisha ya mzee mwalimu yalikuwa pooooaaaaa
Hii ikiwa ni shilingi 5 ya noti, na ile ya silver yake ilikua inaitwa:
DALA, na ilipata jina hilo kwa sababu ilikuwa thamani yake wakati huo ni sawa na 1 US dollar.
Ya mwaka gani hiyo waziamani wenzangu
Naikumbuka sana Shilingi Tano ya noti. Enzi hizo, mshahara wangu wa mwezi ulikuwa Shilingi Mia Nne na Hamsini, na zilikuwa zinatosha mpaka unaweka akiba bank.
Post a Comment