Advertisements

Friday, August 1, 2014

WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA


Baadhi ya watuhumiwa wa ugaidi wakiwa chini ya ulinzi katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo.
Jeshi la polisi lilikuwa gado kila idara.


Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.
Ndugu wa washitakiwa wakitoka mahakamani.


WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu.
Credit:GPL

1 comment:

Anonymous said...

Allah atakukingine na kila shari zao na kila uovu wao inshallah sikiliyeni hiyo hiyo kamba ya Allah because Allah is Allah Akbar.

wamechoma msikiti huko kinondoni leo ndo hao hao halafu mnasingiziwa nyinyi waislamu Allah atakulindeni na shari yao. dini ya kigalatia imeshakwisha kwisha kabisa ndo maana wanakuoneeni nyinyi Allah yupo pamoja na nyinyi inshallah.