
Linah Sanga mwanamuziki wa kizazi kipya ambaye ndiye Balozi wa Wanawake Tanzania akiendesha kampeni ya Mwanamke na Uchumi iliyofanyika Mwaloni, Mwanza leo Alhamisi Sept 4, 2014.

Balozi wa Wanawake Msanii Linah Sanga akiongea na wanawake wa mjini mwanza katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi iliyofanyika leo Alhamisi Sept 4, 2014 Mwaloni Mwanza.

Balozi wa wanawake msanii Linah Sanga akiongea na wanawake wa mjini Mwanza katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi iliyofanyika katika viwanja vya Mwaloni jijini Mwanza.

Balozi wa wanawake msanii Linah Sanga akiwapungia wanawake wa mjini Mwanza kwenye mkutano wa kampeni ya mwanamke na uchumi iliyofanyika leo Alhamisi katika viwanja vya Mwaloni jijini Mwanza.
1 comment:
Elimu kuhusu uchumi imo?
Post a Comment