ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 5, 2014

Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Sikukuu ya Mikaeli na Watoto Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;
kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.
- Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto.

Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 Watoto wakitoa Baraka Kwa Mchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga
 

 

No comments: