Advertisements

Wednesday, September 3, 2014

KARIAKOO NIKAMA JUMAPILI VILE KWEUPE WENYE MADUKA WAGEA MASHINE YA TRA


Mitaa ya Kariakoo asubuhi ni kweupe wenye maduka wagomea mashine za TRA watu wakizagaa zakaa tu kupiga stori wasijue wapi kwa kupata mahitaji 
Kama unavyoona uwezi kuaamini kama ni mitaa ya Kariakoo kuwa nyeupe kama hivi na ukizingatia ni siku ya kazi na wala siyo weekend.
Habari ndiyo hii hapa ni mtaa wa Raha 

1 comment:

Anonymous said...

Huu ndio aina ya uzalendo tunaoutaka ? wafanyabiasha kukataa kulipa kodi stahiki?