Advertisements

Wednesday, September 3, 2014

KWA WALE WANAZI WA MANCHESTER UNITED HII INAWABAMBA

Hii ni keki ya harusi unaweza kuelewa ni kihasi gani huyu jamaa anamapenzi ya dhati kwa timu ya Manchester United hakuitaji kutumia gharama ya suti wala nini jersey yake tu ilitosha kama vazi maalumu la kwenye harusi yake. Jitiririshe chini na utaelewa nini maana ya usemi huu wa ukimpenda mwenye chongo unaweza kuita kengeza.
Manchester United Oyeeeeee.

No comments: