Advertisements

Friday, September 19, 2014

KINANA AWASILI KIBAHA MJINI NA KUTEMBELEA HOSPITALI YA TUMBI NA AKAGUA MRADI WA MAJI


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM wilaya ya Kibaha mjini.
 Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Francis Koka akitoa maelezo ya michoro ya ofisi mpya ya CCM wilaya ya Kibaha mjini kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Michoro inayoonyesha ofisi za CCM wilaya ya Kibaha mjini zitakavyokuwa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Kibaha mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha mjini.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakizungumza na wananchi walikuja kumlaki Kibaha mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao wakishiriki kufyeka shamba la Vijana Boko Timiza lenye ukubwa wa hekari 25 .
 Mkurugenzi wa  Huduma za Afya Hospitali ya Tumbi Dk. Peter Dattani akieleza changamoto mbali mbali walizonazo hospitali ya Tumbi kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alieleza bado hospitali hiyo inahitaji vifaa na madawa kwani inapokea majeruhi kwa asilimia 80%.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kujenzi wa tanki la maji  Muheza .

No comments: