KUGHAIRISHWA KWA MKUTANO WA WABUNGE NA DIASPORA HAPA DMV
Watanzania wana diaspora Mnaombwa Radhi na Kujulishwa kuwa Mkutano uliokuwa ufanyike kesho, Saturday , September 6, 2014, hapa DMV kati ya Wabunge na Wana Diaspora,hautokuwepo.
Mnaombwa Radhi kwa Usumbufu uliosababishwa.
Asanteni
1 comment:
Anonymous
said...
Hee Hawa wanadiplomasia wasomi wenye PhD hata kuandika lugha yao ya Taifa hawajui???!!! Kiswahili ni "kuahirisha" kitendo na sio "kughairisha " mtu ndiye "anaye-ghairi". Nadhani Mzee Kifimbo Cheza anatakiwa aje na Huku Ughaibuni. Luka usiibanie kwa kuwa jamaa ni washikaji wako. Hii ni soo kuwa Maimuna hata Kwenye Kiswahili .

Post a Comment