ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 9, 2014

NAPE AKUTANA NA BALOZI KALLAGHE MJINI LONDON

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo walizungumza masuala mbali mbali yakiwemo ya Uchumi,Siasa pamoja na Diaspora.

No comments: