Advertisements

Tuesday, September 9, 2014

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO BROOKLYN. NY BIRTHDAY DINA YA AKIDA

Seif Akida akikata keki huku akisaidiwa na mtoto wake, Seif aliandaliwa dina hiyo ya birthday nyumbani kwa Ebra na kujumuhika pamoja na marafiki waliopata nafasi ya kufika. Dina hiyo ilifanyika siku ya jumamosi ya tarehe 6 ingawa siku yake ya kuzaliwa ilikuwa ni tarehe 2.
Miss Mahundi akiandaa chakula mezani 
Miss Mahundi akimwimbia wimbo wa birthday bwana Seif Akida. 
Mkuu wa wilaya ya Springfield. MA Al Haj Isaack Kibodya akiwa na first Lady wake. Jitiririshe kwa picha zaidi chini

4 comments:

Anonymous said...


Akida unatungyesha ufahari mkubwa sana. Umatuanyesha mafano wa kukaa na famalia:famaila ianweza kuwa na matatizo lakini kuna utaratibu wa marekebisho yake. Unatuonyesha m mfano mkubwa jinsi ya kuwatambua na kuheshimu wazee, wanawake,watato na mrafiki wa mjini wa New York hapa marikani na viongozi wa Tanzania.
Akida ni mfano mzuri sana kwa watanzania wa Diapora- Mungu akupe zaidi

Anonymous said...

happy birthday akida,ilikuwa bab kubwa birthday,ibra mbona hajapiga picha mkuu tukuone na wewe.
na mahujaji in the house of birthday party.safi sana.
miss mahundi amependeza sana jamani kama kawaida yake.
akida big boy happy birthday man.

Anonymous said...

Kiswahili gongana, hahahaaaa mama mbavu zangu mie khaaa!!

Anonymous said...

unajua mtu kucheka sana huwa iunaondokewa na imani so dont laugh to much save your laughter for later events.